Ufafanuzi wa mwanasayansi katika Kiswahili

mwanasayansi

nominoPlural wanasayansi

  • 1

    mtu anayeshughulikia taaluma zinazotokana na uchunguzi, upimaji, majaribio na kuthibitishwa kwa muda uliopo.

Matamshi

mwanasayansi

/mwanasajansi/