Ufafanuzi wa mwanashanga katika Kiswahili

mwanashanga

nomino

  • 1

    upepo mwembamba unaotoka nchi kavu upande wa kaskazini magharibi kuelekea baharini, ambao huwa ni dalili za msimu wa kaskazi katika pwani ya Afrika Mashariki.

Matamshi

mwanashanga

/mwanaāˆ«anga/