Ufafanuzi wa mwanasiasa katika Kiswahili

mwanasiasa

nomino

  • 1

    mtu anayejihusisha sana na mambo ya siasa.

Matamshi

mwanasiasa

/mwanasijasa/