Ufafanuzi wa mwanataaluma katika Kiswahili

mwanataaluma

nominoPlural wanataaluma

  • 1

    mtaalamu katika uwanja fulani wa taaluma; mtaalamu wa hali ya juu.

Matamshi

mwanataaluma

/mwanata:luma/