Ufafanuzi wa mwandazi katika Kiswahili

mwandazi

nominoPlural wandazi

  • 1

    mtu anayepika vyakula kwa ajili ya shughuli fulani k.v. karamu au sherehe.

    mlisha

  • 2

    mtu anayeshughulika na utayarishaji na usimamiaji wa kuwalisha watu, agh. katika karamu.

Matamshi

mwandazi

/mwandazi/