Definition of mwandishi in Swahili

mwandishi

noun

 • 1

  mtu anayeshughulika na kazi za uandikaji.

  ‘Mwandishi wa kumbukumbu za mkutano’
  katibu

 • 2

  mtu aliyeandika kitu k.v. barua, makala au kitabu.

  ‘Mwandishi wa kitabu hiki ni nani?’

Pronunciation

mwandishi

/mwandiāˆ«i/