Ufafanuzi wa mwangalifu katika Kiswahili

mwangalifu

nominoPlural wangalifu

  • 1

    mtu anayefanya kitu kwa makini kuepuka madhara au makosa.

Matamshi

mwangalifu

/mwangalifu/