Ufafanuzi wa mwangalizi katika Kiswahili

mwangalizi

nominoPlural wangalizi

  • 1

    mtu anayeshughulika na utunzaji na uhifadhi wa vitu ili visiharibike au mambo yasiende kombo.

Matamshi

mwangalizi

/mwangalizi/