Ufafanuzi wa mwangamizi katika Kiswahili

mwangamizi

nominoPlural wangamizi

  • 1

    mtu anayeharibu vitu au maisha.

    mharibifu

Matamshi

mwangamizi

/mwangamizi/