Ufafanuzi wa mwangati katika Kiswahili

mwangati

nomino

  • 1

    mti wa jamii ya mkarambati wenye mbao nyeusi zinazodumu kwa muda mrefu.

Matamshi

mwangati

/mwangati/