Ufafanuzi msingi wa mwangaza katika Kiswahili

: mwangaza1mwangaza2

mwangaza1

nomino

 • 1

  mwanga
  weupe

 • 2

  maarifa au ujuzi wa wastani alionao mtu.

  ‘Mfanyakazi anatakiwa awe na mwangaza wa shughuli za idara nyingine’

Matamshi

mwangaza

/mwangaza/

Ufafanuzi msingi wa mwangaza katika Kiswahili

: mwangaza1mwangaza2

mwangaza2

nomino

 • 1

  mtu anayetafuta kitu.

Matamshi

mwangaza

/mwangaza/