Ufafanuzi msingi wa mwango katika Kiswahili

: mwango1mwango2

mwango1

nominoPlural myango

  • 1

    sehemu iliyotengenezwa kwa ajili ya kuangikia taa au kitu kingine.

Matamshi

mwango

/mwangɔ/

Ufafanuzi msingi wa mwango katika Kiswahili

: mwango1mwango2

mwango2

nominoPlural myango

  • 1

    mti wenye matawi mengi unaofanana na mwembe, majani membamba yanayokaa matatu hadi matano pamoja, maua meupe yanayonukia na magome manene ambao ni dawa na hutumika kutia ladha kwenye pombe.

    mwembemwitu

Matamshi

mwango

/mwangɔ/