Ufafanuzi wa mwanyumba katika Kiswahili

mwanyumba

nomino

  • 1

    mtu aliyeoa nyumba moja na mtu mwingine.

    ngauti

Matamshi

mwanyumba

/mwa…≤umba/