Ufafanuzi wa mwanzi katika Kiswahili

mwanzi

nominoPlural myanzi

  • 1

    mti unaofanana na muwa au hinzirani wenye uwazi ndani kama mrija, mara nyingi hutumika kama fito za kujengea nyumba za miti au bomba la kusafirishia maji.

  • 2

    kitu chembamba chenye uwazi ndani kama mwanzi; bomba jembamba.

    ‘Mianzi ya pua’
    ‘Mwanzi wa bunduki’

Matamshi

mwanzi

/mwanzi/