Ufafanuzi wa mwanzilishi katika Kiswahili

mwanzilishi, mwanzilishaji

nomino

  • 1

    mtu afanyaye jambo mwanzo kabla ya mwingine.

Matamshi

mwanzilishi

/mwanziliāˆ«i/