Ufafanuzi msingi wa mwanzo katika Kiswahili

: mwanzo1mwanzo2

mwanzo1

nomino

 • 1

  hali ya kutangulia; awali ya tendo, hali au jambo.

  chimbuko, sababu, awali, chanzo, kiini

 • 2

  maelekezo rasmi yanayosimamia utekelezaji wa shughuli fulani.

Matamshi

mwanzo

/mwanzɔ/

Ufafanuzi msingi wa mwanzo katika Kiswahili

: mwanzo1mwanzo2

mwanzo2

nomino

Fasihi
 • 1

  Fasihi
  mshororo wa kwanza katika shairi.

Matamshi

mwanzo

/mwanzɔ/