Ufafanuzi wa mwaridi katika Kiswahili

mwaridi

nominoPlural myaridi

  • 1

    mmea wenye mibamiba ambao unazaa maua ya rangi mbalimbali, yanukiayo sana, yanayotumika kutengenezea manukato ya halwaridi.

Asili

Kar

Matamshi

mwaridi

/m waridi/