Ufafanuzi wa mwasho katika Kiswahili

mwasho

nominoPlural mwasho

  • 1

    hali ya kuwashwa mwili.

Matamshi

mwasho

/mwa∫ɔ/