Ufafanuzi wa mwata katika Kiswahili

mwata

nomino

  • 1

    mdudu mweupe au mweusi anayefanana na mnyoo anayepatikana pwani na ambaye hutumiwa kuwa ni chambo cha kuvulia samaki.

    daa

Matamshi

mwata

/mwata/