Ufafanuzi wa mwayamwaya katika Kiswahili

mwayamwaya

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    enda bila mpango maalumu.

Matamshi

mwayamwaya

/mwajamwaja/