Ufafanuzi wa mwayo katika Kiswahili

mwayo

nominoPlural myayo

  • 1

    upanuaji wa mdomo ili kuingiza hewa safi mapafuni kwa wingi, huonyesha dalili ya njaa, uchovu au usingizi.

Matamshi

mwayo

/mwajɔ/