Ufafanuzi wa mwelekeo katika Kiswahili

mwelekeo

nominoPlural myelekeo

  • 1

    upande kitu kinakoelekea kwenda.

  • 2

    sehemu ambako fikira zinaelekezwa.

  • 3

    malengo ya mtu, taasisi au nchi ambayo yanatawala shughuli na uamuzi wa kila siku.

Matamshi

mwelekeo

/mwɛlɛkɛɔ/