Ufafanuzi wa mwendazake katika Kiswahili

mwendazake

nomino

  • 1

    mtu aliyekufa hivi karibuni na anaelekea kuzikwa au mipango ya mazishi yake inaendelea.

    marehemu

Matamshi

mwendazake

/mwɛndazake/