Ufafanuzi wa mwendesha mashtaka katika Kiswahili

mwendesha mashtaka

nominoPlural wendesha mashtaka

  • 1

    mtaalamu wa sheria anayeongoza mashtaka mahakamani.

Matamshi

mwendesha mashtaka

/mwɛndɛ∫a ma∫taka/