Ufafanuzi wa mwendeshaji katika Kiswahili

mwendeshaji

nominoPlural wendeshaji

  • 1

    mfanyakazi katika idara ya utawala, hususan katika asasi za elimu.

  • 2

    dereva wa chombo cha kusafiria.

Matamshi

mwendeshaji

/mwɛndɛ∫aʄi/