Ufafanuzi wa mwendokasi katika Kiswahili

mwendokasi

nomino

  • 1

    namna ya uendaji kwa haraka.

Matamshi

mwendokasi

/mwɛndɔkasi/