Ufafanuzi wa mwerevu katika Kiswahili

mwerevu

nomino

  • 1

    mtu mwenye kutumia akili na hila kwa makusudi ya kupata haja yake.

    laghai

Matamshi

mwerevu

/mwɛrɛvu/