Ufafanuzi msingi wa mwezi katika Kiswahili

: mwezi1mwezi2

mwezi1

nominoPlural mwezi, Plural myezi

  • 1

    gimba mojawapo linalozunguka dunia mara moja kila siku 28 na linang’ara usiku.

Matamshi

mwezi

/mwɛzi/

Ufafanuzi msingi wa mwezi katika Kiswahili

: mwezi1mwezi2

mwezi2

nominoPlural mwezi, Plural myezi

  • 1

    kimojawapo cha vipindi 12 vya mwaka chenye idadi ya siku kati ya 28 na 31.

Matamshi

mwezi

/mwɛzi/