Ufafanuzi msingi wa mwezi kongo katika Kiswahili

: mwezi kongo1Mwezi kongo2

mwezi kongo1

  • 1

    pia mwezi mchanga au mwezi mwandamo mwezi ulioanza kujitokeza; mwezi wenye umbo la theluthi moja ya duara ambao hutokea siku ya kwanza ya kuandama hadi siku ya saba; kipindi baina ya siku ya kwanza ya kuandama mwezi na siku saba za mwanzo.

Ufafanuzi msingi wa mwezi kongo katika Kiswahili

: mwezi kongo1Mwezi kongo2

Mwezi kongo2

msemo

  • 1

    mwezi mwandamo.