Ufafanuzi wa mwiba katika Kiswahili

mwiba

nominoPlural miba

 • 1

  sehemu ya mmea yenye ncha kali inayoweza kuchoma.

 • 2

  mfupa mwembamba wa samaki wenye ncha kali upande mmoja.

 • 3

  kitu kama msumari au sindano chenye ncha inayochoma.

  ‘Mwiba wa nyuki’
  ‘Mwiba wa nge’

Matamshi

mwiba

/mwiba/