Ufafanuzi wa mwigaji katika Kiswahili

mwigaji

nominoPlural wigaji

  • 1

    mtu anayefuatisha na kufanya jambo lililofanywa na mtu mwingine.

Matamshi

mwigaji

/mwigaʄi/