Ufafanuzi msingi wa mwigo katika Kiswahili

: mwigo1mwigo2

mwigo1

nominoPlural myigo, Plural wigo

 • 1

  tendo la kufuatisha jambo lililofanywa na mwingine.

  uigaji

 • 2

  namna ya uigaji.

Matamshi

mwigo

/mwigɔ/

Ufafanuzi msingi wa mwigo katika Kiswahili

: mwigo1mwigo2

mwigo2

nominoPlural myigo, Plural wigo

 • 1

  aina ya njiwa mkubwa anayedhaniwa kuwa anaweza kutabiri juu ya matokeo ya safari.

Matamshi

mwigo

/mwigɔ/