Ufafanuzi wa mwimo katika Kiswahili

mwimo

nominoPlural myimo

  • 1

    nguzo inayokitwa katika nyumba ili kushikilia dari.

    mhimili

  • 2

    kiguzo kinachosimamishwa pande nne za mlango au dirisha.

    mhimili

Matamshi

mwimo

/mwimɔ/