Ufafanuzi wa mwina katika Kiswahili

mwina

nominoPlural myina

  • 1

    shimo kubwa na refu lililochimbwa hasa kwa ajili ya kutega, agh. wanyama.

    ‘Mtego wa mwina’
    rima

Matamshi

mwina

/mwina/