Ufafanuzi wa mwinamo katika Kiswahili

mwinamo

nominoPlural myinamo

  • 1

    tendo au hali ya kuinama.

  • 2

    sehemu ya juu inayoelekea bondeni au kilima kidogo kinachoinamia chini.

    mteremko

Matamshi

mwinamo

/mwinamɔ/