Ufafanuzi wa mwingasiafu katika Kiswahili

mwingasiafu

nominoPlural myingasiafu

  • 1

    mmea mdogo wenye majani membamba na marefu na tunda refu kama la mharage ambao hudaiwa kuwa hufukuza siafu.

    mkwende

Matamshi

mwingasiafu

/mwingasijafu/