Ufafanuzi wa mwingiliano katika Kiswahili

mwingiliano

nominoPlural mwingiliano

  • 1

    hali ya kuwa pamoja na kufahamiana.

    ‘Mwingiliano baina ya watu wa matabaka tofauti ni muhimu ili waelewane’

Matamshi

mwingiliano

/mwingilianɔ/