Ufafanuzi msingi wa mwingilizi katika Kiswahili

: mwingilizi1mwingilizi2

mwingilizi1

nominoPlural wingilizi

  • 1

    mtu mwenye sifa ya kuweza kumrithi mke wa nduguye aliyekufa.

Matamshi

mwingilizi

/mwingilizi/

Ufafanuzi msingi wa mwingilizi katika Kiswahili

: mwingilizi1mwingilizi2

mwingilizi2

nominoPlural wingilizi

  • 1

    mtu anayeanzisha kitu kipya au mtindo fulani pahali kwa mara ya kwanza.

Matamshi

mwingilizi

/mwingilizi/