Ufafanuzi wa mwinuko katika Kiswahili

mwinuko

nominoPlural myinuko

  • 1

    sehemu ya ardhi au kitu iliyo juu ya tambarare.

Matamshi

mwinuko

/mwinukɔ/