Ufafanuzi wa mwisho katika Kiswahili

mwisho

nominoPlural myisho

  • 1

    tendo au hali ya kumalizika kwa jambo.

    kikomo, dali, hatima

  • 2

    ukingo au mpaka.

    hadi

Matamshi

mwisho

/mwi∫ɔ/