Ufafanuzi wa mwizi katika Kiswahili

mwizi, mwivi

nominoPlural wezi

  • 1

    mtu mwenye tabia ya kuchukua kisicho chake bila ya ruhusa au bila ya mwenyewe kumwona.

    mkupuzi, luja, lusu

Matamshi

mwizi

/mwizi/