Ufafanuzi wa mwogo katika Kiswahili

mwogo

nominoPlural myogo

  • 1

    tendo la kujisafisha mwili kwa maji.

  • 2

    siku za kuwaosha wari walio kumbini.

Matamshi

mwogo

/mwɔgɔ/