Ufafanuzi wa mwombaji katika Kiswahili

mwombaji

nominoPlural wombaji

  • 1

    mtu mwenye tabia ya kutaka kupewa vitu bure.

  • 2

    mtu mwenye kupeleka mahitaji yake yashughulikiwe au yatimizwe.

    mtashi

Matamshi

mwombaji

/mwɔmbaʄi/