Ufafanuzi wa mwondoko katika Kiswahili

mwondoko

nomino

  • 1

    jinsi au namna ya kwenda.

  • 2

    mwendo wa maringo.

Matamshi

mwondoko

/mwɔndɔkɔ/