Ufafanuzi msingi wa mwongo katika Kiswahili

: mwongo1mwongo2

mwongo1

nominoPlural myongo, Plural wongo

 • 1

  mgawanyo wa muda kwa idadi ya kumikumi.

  ‘Mwongo mmoja wa mwezi una siku kumi’

 • 2

  kipindi cha miaka kumi.

Matamshi

mwongo

/mwɔngɔ/

Ufafanuzi msingi wa mwongo katika Kiswahili

: mwongo1mwongo2

mwongo2

nominoPlural myongo, Plural wongo

 • 1

  mtu mwenye tabia ya kutosema kweli.

  mdanganyifu, mzushi, kidhabu, ayari, laghai, mzandiki, bazazi

Matamshi

mwongo

/mwɔngɔ/