Ufafanuzi wa myegeya katika Kiswahili

myegeya, mwegeya

nomino

  • 1

    mti unaozaa matunda marefu yanayoning’inia kama dodoki.

Matamshi

myegeya

/mjɛgɛja/