Ufafanuzi wa myeka katika Kiswahili

myeka

kivumishi

  • 1

    -enye cheo cha katibu anayeshughulika na nyaraka nyeti za ofisi.

    ‘Katibu myeka’

Matamshi

myeka

/mjɛka/