Ufafanuzi wa mzaha katika Kiswahili

mzaha

nominoPlural mizaha

  • 1

    maneno au vitendo vya kumfanyia mtu masihara.

    goya, utani, dhihaka, mchezo

Matamshi

mzaha

/mzaha/