Ufafanuzi wa mzazi katika Kiswahili

mzazi

nominoPlural wazazi

  • 1

    mama au baba wa mtu.

    ‘Baba mzazi’
    mvyele

  • 2

    mtu mwenye kuzaa watoto wengi.

Matamshi

mzazi

/mzazi/