Ufafanuzi wa mzee katika Kiswahili

mzee

nominoPlural wazee

 • 1

  mtu aliyeishi miaka mingi, agh. kupita hamsini.

 • 2

  mtu anayeheshimiwa kwa ajili ya cheo chake kazini au mali aliyo nayo.

 • 3

  jina la heshima kwa wanaume.

 • 4

  mzazi, hasa baba.

Matamshi

mzee

/mzɛ:/